top of page

About the Role
Majukumu ya Housekeeping staff ni kuhakikisha anafanya usafi vizuri maeneo yote ya hospitali, kwa kufuata taratibu na miongozo ya ufanyaji usafi iliyowekwa. Kuhakikisha lengo la hospitali la kutoa huduma nzuri na inayokidhi viwango na matarajio ya wagonjwa inafikiwa.
Requirements
VIGEZO
- Uzoefu wa kazi za usafi kwenye kampuni au Taasisi
-Ujuzi wa kukarimu Watu wa silika mbalimbali
-Aweze kuelewa na kufuata kanuni za Ajira
-Awe mchangamfu na uwezo wa kujifunza kwa haraka.
VIGEZO VINGINE
-Elimu ya Kidato cha nne
Closing Date For Applications
Get the full job description
bottom of page

